Turudiane Lyrics
Jay Melody - Turudiane Lyrics
[Intro]
Onaa nana nana nanaaaah
Anaitwaje uyo? Jay, Jay once again
[Verse 1]
Nilikukosea, naomba unisamehe
Nishajionea, kwamba sina lolote
Bila wewe siwezi endelea
Naomba twendelee
Yalikuwa matamu, mapenzi yetu
Yalikuwa super, aaah
[Pre-Chorus]
Aaaaah ah, ex dua gani ulivoisoma?
Aah, kama ndio cha moto nimekiona
Aku siwezi, kujifanya niko sawa kumbe inachoma
Inaumiza, nimeshindwa kukaza
[Chorus]
Mwenzako nataka, turudiane
Mwenzio nataka, turudiane
Mwenzako nataka, turudiane
Mwenzio nataka, turudiane
Uuh nana nanana ooh
[Verse 2]
Weeh, saa sita, saa saba usiku
Nitakupigia na kitu
Nawe pokea japo tu
Nikuongeleshe kakitu
Uko inje, kila mtu wa mtu
Nishakuwa single my siku
Basi nielewa kiduchu
Tumalize hili bifu
[Bridge]
Nimeshindwa kumovе on
Nimeshindwa kumove on
Hata siwezi, kumovе on
Wanawezaje, kumove on?
[Pre-Chorus]
EX dua gani ulivoisoma?
Aah, kama ndio cha moto nimekiona
Aku siwezi, kujifanya niko sawa kumbe inachoma
Inaumiza, nimeshindwa kukaza
[Chorus]
Mwenzako nataka, turudiane
Mwenzio nataka, turudiane
Mwenzako nataka, turudiane
Mwenzio nataka, turudiane
[Outro]
Once again
Mwenzio nataka, turudiane
Comments (0)
📌 By commenting, you agree to follow these rules. Let’s keep PearlTunes, Africa a safe and vibrant place for music lovers!