Sugar Lyrics
Jay Melody - Sugar Lyrics
[Verse]
Sweet like a kuku, tamu sana
Sweet like a soup, I'm going to die
Kwenye dimbwi sijiwezi, nimezama
Mi corazon, my baby banana
Penzi hulifichi kama ni sindano, itachoma
Mi siambiliki hata wakaniroge Kigoma
[Pre-Chorus]
Ukiugusa mwili wangu, nashituka moyo paah
Mpenzi wangu nishike nisije nikapaa
Kama mvua na mawingu kama mwezi na anga
Sina jambo kwa jinsi umenikamata
[Chorus]
Tena usinipege kiduchu
Sugar sugar sugar
My life is nothing without you
Sugar sugar sugar
Tena usinipege kiduchu
Sugar sugar sugar
My life is nothing without you
Sugar sugar sugar
Mmmh mmh
[Verse]
Nikoleze my darling eh
Na tukichoka tuka lale
Wanasema hatari eh
Lakini me nimekubali eh
Kileleni ndo pale
Basi tufike sare sare
Shika ndizi mshare
Nikuvue kama kambale
Vile hawapumui, wakerekwa maadui
Hao wanafiki, watajua hawajui
[Pre-Chorus]
Ukiugusa mwili wangu, nashituka moyo paah
Mpenzi wangu nishike nisije nikapaa
Kama mvua na mawingu kama mwezi na anga
Sina jambo kwa jinsi umenikamata
[Chorus]
Tena usinipege kiduchu
Sugar sugar sugar
My life is nothing without you
Sugar sugar sugar
Tena usinipege kiduchu
Sugar sugar sugar
My life is nothing without you
Sugar sugar sugar
Mmmh mmh
Comments (0)
📌 By commenting, you agree to follow these rules. Let’s keep PearlTunes, Africa a safe and vibrant place for music lovers!