Huba Hulu - Jay Melody
Huba Hulu - Jay Melody

Huba Hulu

11 views

Huba Hulu Lyrics

Jay Melody - Huba Hulu Lyrics

[Verse]

Mung'unya au tafuna kitu mororo
Yakheeee, saa sita napata supu kongoro
Mama Ijumaaa, biriani ya Mama Cholo
Busati mkeka, sio kila siku godoro

[Pre-Chorus]

Ai wewe, nimekwisha
Ni mapenzi yamenishika
Ai nyinyi, nimekwisha
Maumivu, hasta la vista

[Chorus]

Okeeeeeeeeeeeeh bumba
Aiiiiiiiiii

[Verse]

Kama kaupala ni upala
Sa nasafisha makutu
Na ikiwa vita, fujo, vurugu
Nashikisha mututu
Hizi biashara ndo balaa
Baby, nishike kwa huku
Kavalia ushanga, alafu
Chini kavalia kikuku

[Pre-Chorus]

Ai wewe, nimekwisha
Ni mapenzi yamenishika
Ai nyinyi, nimekwisha
Maumivu, hasta la vista

[Chorus]

Okeeeeeeeeeeeeh bumba
Aiiiiiiiiii

[Bridge]

Huba Hulu
Eindama yuhibuk shakhs ma
Eindama yuhibuk shakhs ma

[Outro]

Utanigaia sasa (Oooyah)
Utanipikia sasa (Oooyah)
Utanifanyia sasa (Oooyah)
Utanipatia sasa (Oooyah)
Al Habibi
Al Habibi
Al Habibi
Al kasus baridi
Al Habibi
Al Habibi
Al Habibi
Al kasus baridi
Baridi, baridi aaaaah
Al kasus baridi

Comments (0)

📌 By commenting, you agree to follow these rules. Let’s keep PearlTunes, Africa a safe and vibrant place for music lovers!

Jay Melody Lyrics

Show all →