Na Iwe Kheri Lyrics
Jay Melody - Na Iwe Kheri Lyrics
Unayefundisha mapenzi
Kumkumbuka mwenyezi
Ni mwezi adhimu
Kwenye miezii
Na pia tu huu mwezi
Siwezi kuyahesabu kwenye dunia
Yaarabi karima nipe afya uzima
Nifunge mwezi mzima majaribu niyahepuke
Nitaje lako jina nikisimama wima
Niombe usiku mzima
Mpaka asubuhi pakuche
Na iwe heri (Na iwe kheri)
Ramadhan (Ramadhan)
Na iwe heri (Na iwe kheri)
Ramadhan kareem
Na iwe heri (Na iwe kheri)
Ramadhan (Ramadhan)
Na iwe heri (Na iwe kheri)
Ramadhan Kareem
Comments (0)
📌 By commenting, you agree to follow these rules. Let’s keep PearlTunes, Africa a safe and vibrant place for music lovers!