Nahodha Lyrics
Jay Melody - Nahodha Lyrics
[Intro]
Ah, ah, ah
Ah, ah, ah
Ah, ah, ah
JINI X66
[Verse 1]
Taharuki ndani, kumefifia
Mizozo balaa, aibu, kulia
Sio kawaida, tumesikia
Nahodha wa meli, eti kukaa nyuma
Oh, oh-oh
Husda imemnyima
Oh, oh-oh
Barafu kwenye mtima
Oh, oh-oh
Asikilizwi kauli
Oh, oh-oh
Na ye mtu mzima
[Pre-Chorus]
Kwani yu wapi nahodha?
Yu wapi nahodha?
Yu wapi nahodha?
Chombo kinazama
Yu wapi nahodha?
Yu wapi nahodha?
Yu wapi nahodha?
Cha kwenda mrama
[Chorus]
Yu wapi nahodha?
Yu wapi nahodha?
Yu wapi nahodha?
Chombo kinazama
Yu wapi nahodha?
Yu wapi nahodha?
Yu wapi nahodha?
Cha kwenda mrama
[Verse 2]
Na siri za ndani, kuhadithia
Shoga katamani, jamvi kakalia
Udugu, amani, 'tulifikia
Hisia chomboni, mwishowe twazamia
[Bridge]
Oh, oh
Kabla ya kupenda, pima
Oh, oh
Wapenda kwa akili nzima
Oh, oh
Usiwe mchimba kisima
Oh, oh
Ukatumbukia mazima
[Pre-Chorus]
Kwani yu wapi nahodha?
Yu wapi nahodha?
Yu wapi nahodha?
Chombo kinazama
Yu wapi nahodha?
Yu wapi nahodha?
Yu wapi nahodha?
Cha kwenda mrama
[Chorus]
Yu wapi nahodha?
Yu wapi nahodha?
Yu wapi nahodha?
Chombo kinazama
Yu wapi nahodha?
Yu wapi nahodha?
Yu wapi nahodha?
Cha kwenda mrama
[Instrumentals]
Music
Comments (0)
📌 By commenting, you agree to follow these rules. Let’s keep PearlTunes, Africa a safe and vibrant place for music lovers!