Hujaona Bado - Jay Melody
Hujaona Bado - Jay Melody

Hujaona Bado

7 views

Hujaona Bado Lyrics

Jay Melody - Hujaona Bado Lyrics

[Intro]

Ooh naah nanaah
Oooh
Eti Jay once again
Are you okay?

[Verse 1]

Si unaona unashangaa
Na hapo sina nyumba wala sina motor car
Ooh ooh
Napendeza na kung’aa
Nanukia manukato utapigwa na butwaa
Eeh eeh

[Pre-Chorus]

Naridhika kidogo nikipatacho
Napiga kazi si unajua tumeumbwa kula kwa jasho
Ooh ooh
Asa we endelea kula kwa macho
Nakuniita boss, hicho ndo kitu kifuatacho

[Chorus]

Mbona bado bado hujaona bado
Ooooh bado na tena hujaona bado
Mbona bado bado aah hujaona bado
Bado na tena hujaona bado
Mbona bado

[Verse 2]

We chicken pizza, burger, makange, pilau
Ugali mboga saba bila kusahau
Huwa napenda kufanya ibada kuomba walau
Nikijaze kibaba name nipande dau
Utaniona kama na masifa
Muda wote cheko amani linamwangikaa
Hebu tazama natosheka
Kuna muda sina hata mia hata mia ila napika

[Pre-Chorus]

Naridhika kidogo nikipatacho
Napiga kazi si unajua tumeumbwa kula kwa jasho
Ooh ooh
Asa we endelea kula kwa macho
Nakuniita boss, hicho ndo kitu kifuatacho

[Chorus]

Mbona bado bado hujaona bado
Oya wee bado na tena hujaona bado
Mbona bado bado aah hujaona bado
Bado na tena hujaona bado
Mbona bado

[Outro]

Anhaan hujaona bado
Mmmhh anhaaa hujaona bado shi

Comments (0)

📌 By commenting, you agree to follow these rules. Let’s keep PearlTunes, Africa a safe and vibrant place for music lovers!