Halafu - Jay Melody
Halafu - Jay Melody

Halafu

7 views

Halafu Lyrics

Jay Melody - Halafu Lyrics

[Verse]

Eti unataka nini?
Hivyo naambiwa mimi, eeh
Kimahaba kama jini, yeah
Yaani moto hauzimi, we
Huko nyuma nilipata varangati
Ni mateke kama sensia
Siku hizi napikiwa kaimati
Ex kazi yako kuumia, eeh

[Chorus]

Halafu halafu, ananipaga nyama yaani ndafu, she
Halafu halafu, inakuaga chips kavu kavu, yeah
Halafu halafu, eh
Halafu halafu, yeah
Halafu halafu, anakuaga bata yaani chafu

[Bridge]

Uwoo, ulala

[Verse]

Kutokana nampenda utatatami, utatoka denda, weh
Kwenda huko mwana kwenda, nilikupa moyo, we ukautenda
Nasema riri rarirariraaa, hururu rarirarira
Nasema riri rarirariraaa, hururu rarirarira
Nimekuacha (rarirarira)
Na sikupendi (rarirarira)
Na umebaki (rarirarira)
Hururu rarirarira

[Chorus]

Halafu halafu, ananipaga nyama yaani ndafu, she
Halafu halafu, inakuaga chips kavu kavu, yeah
Halafu halafu, eh
Halafu halafu, yeah
Halafu halafu, anakuaga bata yaani chafu (bataa)

Comments (0)

📌 By commenting, you agree to follow these rules. Let’s keep PearlTunes, Africa a safe and vibrant place for music lovers!

Jay Melody Lyrics

Show all →