Wa Peke Yangu Lyrics
Jay Melody - Wa Peke Yangu Lyrics
[Intro]
JINI X66
Ah, ah, ah
Ah, ah
Ah, ah, ah
Jay Once Again
[Verse 1]
Vi macho na zake lips
Kumpata sio rahisi
Yaani kweli Mungu umenibariki
Mimi umenibariki
Na kabla ya hii gift
Ukatufanya marafiki
Mpaka sasa penzi liko lit
Moto, kiukweli
[Pre-Chorus]
Yaani kama nimeokota dodo
Chini ya mpera, nimeokota dodo
Na siambiliki, hata kidogo
Mwenzenu mimi, nimeokota dodo
[Chorus]
Wa pekee yangu
Huyu
Wa pekee yangu
Huyu
Wa pekee yangu
Wa pekee yangu
Jamani, wa pekee yangu
Huyu
Wa pekee yangu
Huyu
Wa pekee yangu
Wa pekee yangu
[Verse 2]
Mapenzi gani haya anayonipa? (Anayonipa)
Mpaka damu nasikia inavyo pita
Kwenye moyo pia kwenye mishipa
(Mishipa)
Au tuseme ndio kashanishika
[Pre-Chorus]
Yaani kama nimeokota dodo
Chini ya mpera, nimeokota dodo
Na siambiliki, hata kidogo
Mwenzenu mimi, nimeokota dodo
[Chorus]
Wa pekee yangu
Huyu
Wa pekee yangu
Huyu
Wa pekee yangu
Wa pekee yangu
Jamani, wa pekee yangu
Huyu
Wa pekee yangu
Huyu
Wa pekee yangu
Wa pekee yangu
[Bridge]
Darling, yupo moyoni
Nnavyo muota, usingizini
Jamani, darling yupo moyoni
Nnavyo muota, usingizini
[Post-Chorus]
Wa pekee yangu
Huyu
Wa pekee yangu
Huyu
Wa pekee yangu
(Oh, na-na-na-na)
Wa pekee yangu
Jamani, wa pekee yangu (Pekee)
Huyu
Wa pekee yangu (Mimi hapa)
Huyu
Wa pekee yangu
Wa pekee yangu
[Outro]
I love you babe
Music
Comments (0)
📌 By commenting, you agree to follow these rules. Let’s keep PearlTunes, Africa a safe and vibrant place for music lovers!