Najieka Lyrics
Jay Melody - Najieka Lyrics
[Verse]
This girl is on fire
Ona sasa unapwita
Moyo wangu unapwita unapwita
Alafu tikatika, tika tika
In la isla bonita, I bonita
I feel like tupo kwetu
Tumeumana na niko peku
Sielewi chochote, niko fyetu
Yani ni fyetu fyetu
[Pre-Chorus]
Ningekua Dully, ningeimba Julieta
Angekua pombe, ningepiga tarumbeta
Kwa jinsi nampenda, mimi kwake najieka
Aah, najieka, mimi najieka
Ningekua Dully, ningeimba Julieta
Angekua pombe, ningepiga tarumbeta
Kwa jinsi nampenda, mimi kwake najieka
Aah, najieka, mimi najieka
[Chorus]
This girl is on fire
Ooooh oooh oooh
Najieka, mimi najieka, anhaa
Ooooh oooh oooh
Najieka, mimi najieka, anhaa
[Verse]
Kwanza mtoto
Niko radhi nimkatie bima
Ana vitu vyake moto moto
Anavyotikisa mzizima
Jama shere, sheeere
Kuna pele, peeele, shi
Anavyo chambuka chambuka
We kama mchele, cheeele
[Pre-Chorus]
Ningekua Dully, ningeimba Julieta
Angekua pombe, ningepiga tarumbeta
Kwa jinsi nampenda, mimi kwake najieka
Aah, najieka, mimi najieka
Ningekua Dully, ningeimba Julieta
Angekua pombe, ningepiga tarumbeta
Kwa jinsi nampenda, mimi kwake najieka
Aah, najieka, mimi najieka
[Chorus]
This girl is on fire
Ooooh oooh oooh
Najieka, mimi najieka, anhaa
Ooooh oooh oooh
Najieka, mimi najieka, anhaa
[Bridge]
Bwana mie napata ushughu
Niko pale kati, ananitaka nitubu
Alafu kubwa zima, anaogopa mdudu
Asa mambo gani, mbona mwenzie mzungu
Bwana mie napata ushughu
Niko pale kati, ananitaka nitubu
Alafu kubwa zima, anaogopa mdudu
Asa mambo gani, mbona mwenzie mzungu
[Chorus]
This girl is on fire
Ooooh oooh oooh
Najieka, mimi najieka, anhaa
Ooooh oooh oooh
Najieka, mimi najieka, anhaa
Comments (0)
📌 By commenting, you agree to follow these rules. Let’s keep PearlTunes, Africa a safe and vibrant place for music lovers!