Mbali Nawe - Jay Melody
Mbali Nawe - Jay Melody

Mbali Nawe

9 views

Mbali Nawe Lyrics

Jay Melody - Mbali Nawe Lyrics

Once Again

[Verse]

Masikini mimi
Mwenzako mimi naumia sana
Japo nishajua mimi kua sawa na wewe haitowezekana
Hata nikishuka chini ndio unaniona ni mjinga sana
Eti umepatwa nini mbona hapo mwanzo ulitulia

[Bridge]

Na wala sio mbali
Sio mbali
Tulikua karibu na malengo
Na leo kiutani kama utani
Umeshindwa kuumaliza mwendo
Na tena hujali haujali
Ukiondoka utaacha pengo
Hakuna cha habari nikae mbali
Huku kuachwa bila maelezo

[Chorus]

Mbali nawe, mbali nawe
Mbali nawe, mbali nawe
Mbali nawe, mbali nawe
Mbali nawe, mbali nawe

[Verse]

Au kua na mie hautamani
Aah basi niambie kosa gani
Basi niambie jinsi gani
Utakua sawa baby mmmh
Nikueleze jinsi gani
Vile nimekuweka moyoni
Hata mnipime kwa mizani
Nitajaa kwako honey
Mi naumwa
Siko sawa
Lako penzi ndio yangu dawa
Ninaumwa aah
Siko sawaaaa
Lako penzi ahh ndio yangu dawa

[Bridge]

Na wala sio mbali sio mbali
Tulikua karibu na malengo
Na leo kiutani kama utani
Umeshindwa kuumaliza mwendo
Na tena haujali haujali
Ukiondoka utaacha pengo
Hakuna cha habari nikae mbali
Huku kuachwa bila maelezo

[Chorus]

Mbali nawe, mbali nawe
Mbali nawe, mbalii nawe
Mbali nawe, mbali nawe
Mbali nawe, mbali nawe

Comments (0)

📌 By commenting, you agree to follow these rules. Let’s keep PearlTunes, Africa a safe and vibrant place for music lovers!

Jay Melody Lyrics

Show all →