I Don't Know Lyrics
Jay Melody - I Don't Know Lyrics
[Intro]
Oh oolalaa
Oh oolalaa
Jay once again
[Verse 1]
Mimi nataka kitu kidogo, nikwambie
Nimekupa moyo basi nawe wako nigaiye
Burudani nifuraha wewe kua na mie
Ukitaka joto songa baby nikukumbatie
[Chorus]
Kama kukutenda sijui my love
Baby I don’t know
Kala kakuacha sijui my love
Baby I don’t know
I don’t know
I don’t know
Baby I don’t know
I don’t know
I don’t know
Baby I don’t know
[Verse 2]
Onanaaaah oooh
Ayah ayaaa
Hatupendani wenyewe
Tunapendwa na umati
Watazunguka kote
Kama sisi hawapati
Baby unavyonipa
Nikachori kalimati
Wambea watachoka
Kwa kufanya hisabati
[Bridge]
Nataka ujue (we wakwangu mie)
Ringa jishauwe (we wakwangu mie)
Usijibanebane (we wakwangu mie)
Tamba wakujue (we wakwangu mie)
[Chorus]
Kama kukutenda sijui my love
Jamani baby I don’t know
Kama kukutenda sijui my love
Mwenzako baby I don’t know
I don’t know
I don’t know
Baby I don’t know
I don’t know
I don’t know
Baby I don’t know
[Outro]
Nampenda mpenda nani
Mtoto mmoja nani
Mweupe kidogo nani
Mweusi kidogo nani
Eti nampenda mpenda nani
Mtoto mmoja nani
Mweupe kidogo nani
Mweusi kidogo nani
Comments (0)
📌 By commenting, you agree to follow these rules. Let’s keep PearlTunes, Africa a safe and vibrant place for music lovers!