Acha Wivu Lyrics
Jay Melody - Acha Wivu Lyrics
[Verse]
Nimeenda beach nimeenda Sinza eh
Kila upande mi Nipo nae
Asa kwanini mwana upagawe
Oh no au nimtupe sadakalawe
[Chorus]
Aaaah weeeeeh
Acha wivu
Nalewa nae simfanyii kitu
Acha wivu
Ah weeeeeeeh
Acha wivu
Nacheza nae simfanyii kitu
Acha wivu
[Bridge]
Ah sema one two three
Tikisa kichwa my G
Vitu lukuki
Tikisa kichwa my G
I say G G G G
Tikisa kichwa my G
Piga bunduki
Tikisa kichwa my G
[Verse]
Nipeleke police au niroge niwe chizi
Uwe peace au vipi
Sa mbona unajimix
Nipeleke police au niroge niwe chizi
Uwe peace au vipi
Sa mbona unajimix
[Chorus]
Aaaah weeeeeh
Acha wivu
Nalewa nae simfanyii kitu
Acha wivu
Ah weeeeeeeh
Acha wivu
Nacheza nae simfanyii kitu
Acha wivu
[Bridge]
Ah sema one two three
Tikisa kichwa my G
Vitu lukuki
Tikisa kichwa my G
I say G G G G
Tikisa kichwa my G
Piga bunduki
Tikisa kichwa my G
[Outro]
Nipeleke police au niroge niwе chizi
Uwe peace au vipi
Sa mbona unajimix
Comments (0)
📌 By commenting, you agree to follow these rules. Let’s keep PearlTunes, Africa a safe and vibrant place for music lovers!