Unanimaliza - Jay Melody
Unanimaliza - Jay Melody

Unanimaliza

12 views

Unanimaliza Lyrics

Jay Melody - Unanimaliza Lyrics

[Intro]

Mm
Mmm
Wananiita, naam!
Jay Once Again
Neym

[Verse 1]

Penzi lisilo kinai
Kama wahindi, Mumbai
Nimezidiwa, wallahi
Nalainishwa mkate kwa chai
Naona raha tukifurahi
Macho yako ndio, aih!
Mitego yao sijali
Nimeamua sa ndege sipai

[Bridge]

You're my lover
Mwenzako napenda
When you kiss me, when you touch me
Mwenzako napenda
I'm crazy for your love
(?) wewe
Nishazama mapenzini, penzi lanimeza

[Chorus]

Baby, mwenzio
Unanimaliza
Mi mwenzio
Unanimaliza
Sweetie, mwenzio
Unanimaliza
Mi mwenzio
Unanimaliza

[Verse 2]

Nilipo
Napewa raha za Pwani
Sio siri, jamani
Hakuna kulala
Sa ndio nini hivyo
Kunichanganya, honey
Fasta ka cherehani
Utanipa lawama
Mpenzi, mi nguvu nakuwa sina
Na mambo kwa ndani, ukifinya
Ukifinya baby, ukifinya
Ukifinya baby, ukifinya
Kindoo nashindwa kumimina
Sababu mi nguvu nakuwa sina
Ukifinya baby, ukifinya
Ukifinya baby, ukifinya

[Bridge]

You're my lover
Mwenzako napenda
When you kiss me, when you touch mе
Mwenzako napenda
I'm crazy for your love
(?) wеwe
Nishazama mapenzini, penzi lanimeza
(Oh, la)

[Post-Chorus]

Baby, mwenzio (Baby)
Unanimaliza (Ooh, c'mon, c'mon)
Mi mwenzio (Ah, ah)
Unanimaliza (Ah)
Sweetie, mwenzio (Baby)
Unanimaliza (Baby, c'mon, c'mon)
Mi mwenzio
Unanimaliza
Ah
Oh, mwenzio
Unanimaliza
Mi mwenzio
Unanimaliza

Ka Mix Lizer

Comments (0)

📌 By commenting, you agree to follow these rules. Let’s keep PearlTunes, Africa a safe and vibrant place for music lovers!