Chini - Jay Melody
Chini - Jay Melody

Chini

8 views

Chini Lyrics

Jay Melody - Chini Lyrics


[Verse 1]

Ona nakupenda sana
Usije nipanga kama nyanya
Ukaniona tu mi sina mana
Ukanichezesha mchana mchana
Ila we nipeleke utakavyo maah
Mi siwezi kubisha kwa lolote
Kwa wengine acha nijidai
Kwako mjinga mie kolo
Unanichanganya ukipita na kimini
Uani umenitobolea kipini
Kati uwo ukiwa mwendo kama jini
Vimaswali baby unataka nini

[Pre-Chorus]

Hivi hivi kwa nini
Ukianzaga hunipaga nyama ulimi
Tena ulivyo mtundu kama nini
Unavyokatika mpaka chini

[Chorus]

Mpaka chini, mpaka chini
Mpaka chini unavyokatika iyo mizungu siamini
Mpaka chini, mpaka chini
Mpaka chini unavyokatika mpaka chini

[Bridge]

Mmh! Aah
Mmh

[Verse]

Hayo malavidavi yamenikamata leoo naongea
Na nilivyo sijiwezi naelekea kudata but I don't care
Sina wakunipa mapenzi zaidi yako mi sina
Mmh! Na ukijaga kuniacha mwenzako nta China
Mmh nakupenda kinyama kwel mi sina
Aah! Nasinzia nikukuwaza ooh baby
Unanichanganya ukipita na kimini
Uani umenitobolea kipini
Kati uwo ukiwa mwendo kama jini
Vimaswali baby unataka nini

[Pre-Chorus]

Hivi hivi kwa nini
Ukianzaga hunipaga nyama ulimi
Tena ulivyo mtundu kama nini
Unavyokatika mpaka chini

[Chorus]

Mpaka chini, mpaka chini
Mpaka chini unavyokatika iyo mizungu siamini
Mpaka chini, mpaka chini
Mpaka chini unavyokatika mpaka chini

[Outro]

Akitaka kucheza, muwacheni
Kama kuringa, muwacheni
My baby, baby, uwacheni
Aah, huyu yuyu
Ama kucheza, muwacheni
Kama kuringa, muwacheni
My baby, baby, uwacheni
Mmh, huyu yuyu

Comments (0)

📌 By commenting, you agree to follow these rules. Let’s keep PearlTunes, Africa a safe and vibrant place for music lovers!

Jay Melody Lyrics

Show all →