Sambaloketo Lyrics
Jay Melody - Sambaloketo Lyrics
[Intro]
Olala
Mr. LG
[Verse]
Oh! oh! Ananipa changamoto kila muda namuazia ooh
Hadi nakua ka mtoto ninavyo pelekwa nakuambia ooh
Penzi lina nichanganya, sweet anawasha moto
Ikokipigo mkongoto, punguza kasi naumia
[Pre-Chorus]
Ah! Ah! Oh my baby, nzela oh nzela wa jenjembe (jenje)
Nipe ya kapera, ya utamu wa embe embe (embe)
Oh my baby, nzelayo nzela wa zoloo (zolo)
Nipe ya kapera upone huu moyo, oh yaiya
[Chorus]
Samba loketo
Samba loketo
Samba loketo
Samba loketo
[Verse]
Kaniminya, kaniminya, kanibana, kanichota mzima eeh
Kichwani minajaa mawenge, anauchezesha mtima
Mwenzako napenda vibaya, sijakupenda bahati mbaya
Nadata nakoma na haya, unanifanya kitu mbaya, yaiya yaiya yaiya yaiya
[Pre-Chorus]
Oh my baby, nzela oh nzela wa jenjembe (jenje)
Nipe ya kapеra, ya utamu wa embe embе (embe)
Oh my baby, nzelayo nzela wa zoloo (zolo)
Nipe ya kapera upone huu moyo, oh yaiya
[Chorus]
Samba loketo
Samba loketo
Samba loketo
Samba loketo
Comments (0)
📌 By commenting, you agree to follow these rules. Let’s keep PearlTunes, Africa a safe and vibrant place for music lovers!