Mtoto Lyrics
Jay Melody - Mtoto Lyrics
[Intro]
Oooooh...
Jay once again...
[Verse 1]
Ilikuwa kula, kusoma, kuchezaa
Vingine nlivyo tamani kuvipata vililetwa
Nawala sikudhani hizi siku zitafika
Sikuwa na mashaka aitae na miaka
[Pre-Chorus]
Now nimekuwaa, nimetambuwa
Utuuzima dawa, sio mauwaa
Leo natamani nisingekuwa
Utuuzima dawa, sio mauwaa...
[Chorus]
Bora zamani nlivyo kuwa mtoto
Aaaah zamani nlivyo kuwa mtoto
Bora zamani nlivyo kuwa mtoto
Aaaah zamani nlivyo kuwa mtoto
[Verse 2]
Unaaaaa...
Kuwa uyaone, niliambiwa
Duniani inamengii sanaaa
Usione mtu kainama huu
Wasakatokee wanapambania
Hapa mgeni lawamaa
Tena kuna mda unaumia sana huuu
[Bridge]
Ilikuwa rahisii huko nyuma
Rahisi sanaaa
Time hizi nizamu yangu
Kupambana hata nikimiss
Hakuna jinsi, vile ntafanya
Mungu ni bariki riziki yangu
Fungua milango
[Pre-Chorus]
Now nimekuwaa, nimetambuwa
Utuuzima dawa, sio mauwaa
Leo natamani nisingekuwa
Utuuzima dawa, sio mauwaa...
[Chorus]
Bora zamani nlivyo kuwa mtoto
Aaaah zamani nlivyo kuwa mtoto
Bora zamani nlivyo kuwa mtoto
Aaaah zamani nlivyo kuwa mtoto
Comments (0)
📌 By commenting, you agree to follow these rules. Let’s keep PearlTunes, Africa a safe and vibrant place for music lovers!