Kiguu na Njia - Jay Melody
Kiguu na Njia - Jay Melody

Kiguu na Njia

7 views

Kiguu na Njia Lyrics

Jay Melody - Kiguu na Njia Lyrics

[Intro]

Anhaaaa anhaaa
Onhooohho once again
Onhooo

[Verse 1]

Walisema mapenzi dawa, ohoh
Ila kwako nilipata ugonjwa, ah
Ukanilisha bila kunawa, oohoh
Madharau hukua na uoga
Ndo maana nimekukata
Nimekuzimia taa
Mwenye roho ya paka
Usiye wahi ridhika
Mapema nilijua
Mbali hatutafika
Kipi kinakuwasha?
Mbona wahangaika, anhaa

[Pre Chorus]

Habari zako nimezisikia mbali
Yamaanisha wewe kiguu na njia
Unazunguka kusambaza vidosari
Hakuna baya mimi nilokufanyia

[Chorus]

Watia tia unga
Wasaga saga rumba
Yako yamekushinda
Ya kwangu kuyachunga, wewe
Watia tia unga
Wasaga saga rumba
Yako yamekushinda
Ya kwangu kuyachunga, wewe

[Bridge]

Ona nanananah
Ono nonononoh
Ona nanananah
Onaaaaaaah aah

[Verse 2]

Sasa natulia jinsi napatiwa raha za dunia (acha iyo)
Anazingatia tabasamu langu nisije kulia (acha iyo)
Na tena fundi wa mapenzi amejaaliwa (acha iyo)
Kajawa hisia, mahaba asilimia mia, onhoo
Ulitaka nikongoroke, oooh
Niwe hoi yani nichoke, aah
Kwenda huko wewe cha wote, oooh
Huna jambo, huna lolote, aaaah

[Pre Chorus]

Habari zako nimezisikia mbali
Yamaanisha wewe kiguu na njia
Unazunguka kusambaza vidosari
Hakuna baya mimi nilokufanyia

[Chorus]

Watia tia unga
Wasaga saga rumba
Yako yamekushinda
Ya kwangu kuyachunga, wewe
Watia tia unga
Wasaga saga rumba
Yako yamekushinda
Ya kwangu kuyachunga, wewe

Comments (0)

📌 By commenting, you agree to follow these rules. Let’s keep PearlTunes, Africa a safe and vibrant place for music lovers!