Forever Lyrics
Jay Melody - Forever Lyrics
[Intro]
Jini X66
Jay Once Again
[Verse 1]
Sweetie, umenikata mbawa sipai
I never seen before
Waniache nijidai, mmm
Sweetie, nime-cease, niko high
Penzi lako tamu hivyo
Linanilewesha ka divai
[Verse 2]
Wananisimanga na kula najilamba
Eti ni ushamba, 'sio mapenzi
Ah, kama penzi
Lingekuwa chungwa
Ningelimenya kama chenza
Walisema, 'Hayawi, yamekuwa
Mimi na wewe
Ndio forever
Aya
[Chorus]
Forever
Forever
Forever
Ndio forever
Forever
Forever
Forever
Ndio forevеr
[Instrumentals]
[Verse 3]
Nimegundua, mapenzi ua
Yana raha yake tu, 'ukiyajua
Akibandika, na kibandua
Chakula chakе 'tu, nakipakua
Ndio nimeshazama
Ndio nimeshakwama
Moyo wangu na wake
Ngumu kuigawanya
[Bridge]
Ndio nimeshazama
Ndio nimeshakwama
Hata unitake, 'huwezi kunipata
Mh
[Pre-Chorus]
Kama penzi
Lingekuwa chungwa
Ningelimenya kama chenza
Walisema, 'Hayawi, yamekuwa
Mimi na wewe
Ndio forever
Aya
[Chorus]
Forever
Forever
Forever
Ndio forever
Forever
Forever
Forever
Ndio forever
[Outro]
Oh, ah
Oh, woah
Ooh, na-na-na-na
Ooh, na-na-na-na
Forever mi nawe
Forever
Ndio forever, Ha-ha
Ka Mix Lizer
Comments (0)
📌 By commenting, you agree to follow these rules. Let’s keep PearlTunes, Africa a safe and vibrant place for music lovers!