Bojo - Jay Melody
Bojo - Jay Melody

Bojo

11 views

Bojo Lyrics

Jay Melody - Bojo Lyrics

[Verse]

Shoroa shemeyi, wameniosha mikono
Sinyora mazai, mpendwa mshono
Na hata akinuna, inapendeza midomo
Suti na tai, kabambe kwa promo

[Pre-Chorus]

Kama pweza, chokochoko
Hatari kwa toto
Ana mwendo kokoko
Ah, raha dunia
Kama pweza, chokochoko
Hatari kwa toto
Ana mwendo kokoko
Ah, raha dunia

[Chorus]

Iwe bojo
Iwe, ma iwe
Iwe bojo
Iwe

[Verse]

Mami mami, unanikosha roho
Zile nje ndani, ulicho nacho
Kama twende Juve, tukazuge zuge
Na mbungani, tuone koboko
Niimbe tenzi, kwa hisia ya kudekezana
Utaratibu, ikuwe kimoko
Kama tupo Mavuroko
Mjeledi huku, ndimi zikigusana
Kwa wambeya, bonge la dongo
Wacha wajinyonge

[Pre-Chorus]

Kama pweza, chokochoko
Hatari kwa toto
Ana mwendo kokoko
Ah, raha dunia
Kama pweza, chokochoko
Hatari kwa toto
Ana mwendo kokoko
Ah, raha dunia

[Chorus]

Iwe bojo
Iwe, ma iwe
Iwe bojo
Iwе

Comments (0)

📌 By commenting, you agree to follow these rules. Let’s keep PearlTunes, Africa a safe and vibrant place for music lovers!

Jay Melody Lyrics

Show all →