Katika Lyrics
Jay Melody - Katika Lyrics
[intro]
(instrumentals)
Nem, once again
Sifa zake kila kona
Mimi nimezisikia
Natamani k+muona
Machache k+muambia
Kweli nimetembea
Sijawahi ona kama yeye
Sifa anazogewa mpaka nijionee mwenyewe
Mwenye uzuri wa macho
Ako wapi tumuone?
Huko nyuma kafungasha
Ako wapi tumuone?
Atuoneshe alichonacho, ako wapi?
(tumuone)
Kiuno anavyo kata, ako wapi?
(tumuone)
Katika, (kata)
Katika, (kata)
Katika, (kata)
Kiuno
Katika, (kata)
Katika, (kata)
Katika, (kata)
Kweli, kua uyaone
Hii dunia ina mengi
Sasa nimeshaelewa
Kwanini vijana hatujengi
Ukistaajabu ya musa, utayaona ya firauni
Yaani kama anasusa
Anavyo cheza kihuni
Nyuma alivyoal angusha
Udambwi, dambwi, zigo nyangumi
Yaani kama anasusa
Mwenye uzuri wa macho
Ako wapi tumuone?
Huko nyuma kafungasha
Ako wapi tumuone?
Atuoneshe alichonacho, ako wapi?
(tumuone)
Kiuno anavyo kata, ako wapi?
(tumuone)
Katika, (kata)
Katika, (kata)
Katika, (kata)
Kiuno
Katika, (kata)
Katika, (kata)
Katika, (kata)
Katika, (kata)
Amekupa mama (kata)
Wala si cha kuazima (kata)
Kiuno chako mwenyewе (kata)
Eh
Mguu moja (kata)
Kama unainama (kata)
Ati nna tetemesha (kata)
Amеkupa mama (kata)
Kiuno chako mwenyewe (kata)
Ka mix lizer
Comments (0)
📌 By commenting, you agree to follow these rules. Let’s keep PearlTunes, Africa a safe and vibrant place for music lovers!