Yumba Lyrics
Phina - Yumba Lyrics
Neym
Leo zamu yangu nimekamata kibunda
Ukinikuta chaka lolote, usiniite we vunga
Nataka nilewe mpaka hamu iniishe
Hata kula siwezi, nataka nilishwe
Nisuuze roho yangu, nijiburudishe
Sio mikojo tu ikinibidi niharishe
Sitaki company (company)
Kwenye pesa zangu usilete utani (utani)
Waiter leta mezani (mezani)
Nimishalewa ndo nipate kihani (kihani)
Raha ya kulewa uyumbe kidogo
Yumba, yumba eh
Yumba, ikibidi anzisha na zogo
Yumba, yumba eh
Raha ya kulewa uyumbe kidogo
Yumba, yumba eh
Ukinyimwa unyumba hamia nyumba ndogo
Yumba, yumba eh
Natamani leo ingekua siku ya walevi duniani
Ningenunua mipombe, nigawe mpaka kwa majirani
Oya walevi wote, leo birthday yetu tu-enjoy
(Walevi wote, leo birthday yetu tu-enjoy)
Oya walevi wote, leo birthday yetu tu-enjoy
(Walevi wote, leo birthday yetu tu-enjoy)
Hasa twende kilevi levi (levi)
Tembea kilevi levi (kilevi)
Hasa twende kilevi levi (levi)
Cheza kilevi levi (kilevi)
Sitaki company (company)
Kwenye pesa zangu usilete utani (utani)
Waiter leta mezani (mezani)
Nimishalewa ndo nipate kihani (kihani)
Raha ya kulewa uyumbe kidogo
Yumba, yumba eh
Yumba, ikibidi anzisha na zogo
Yumba, yumba eh
Raha ya kulewa uyumbe kidogo
Yumba, yumba eh
Ukinyimwa unyumba hamia nyumba ndogo
Yumba, yumba eh
Lugha gongana
How are you
Hawa hayupo nimemuacha east zu
Lugha gongana
Lugha gongana
I miss you
Ok, thank you, thank you
Comments (0)
📌 By commenting, you agree to follow these rules. Let’s keep PearlTunes, Africa a safe and vibrant place for music lovers!