Sitaki Tena Lyrics
Phina - Sitaki Tena Lyrics
Intro
Mimi naujuaaaa
Aloney Pon Pon de track
Verse 1
Nitachowaambia msiache kumwambia na yeye ee
Simchukii na na najipa mwenyewe oooh noo
Mwambieni sijutii kuwa mbali nae apunguze presha aah
Mwambieni sililii penzi lake nilisha lihitimisha ooh
Hook
Hazijabaki memory wala kumbukumbu
Nilishamsahau mazima
Hata nikimuona namuona kaa nungunungu
Sio kama namvunjia heshimaa
Makombe amalize ajifushe na nyungu
Akakoge na maji ya kisima
Ila Mimi nilishaapa kwa mwenyezi mungu
Haitojirudia daima
Chorus
Sitaki tena
Tena mwambieni asinisumbue mimi
Sitaki tena
Nipo bukheri na nafsi yangu uu
Sitaki tena
Abaki na zake nibaki na zaaanguuu
Sitaki tena
Nipo bukheri na nafsi yangu uuu
Verse 2
Dua zake mbaya kwangu nife lini lipo sasa najua aa
Najua likiwaka kiza kikitanda ananiwaza najua
Mwambieni asihangaike na mipasho moyo wake mimi naujua aa
Sitaki kumdhalilisha nikataja na siri zake nikamuumbua aah
Hook
Hazijabaki memory wala kumbukumbu
Nilishamsahau mazima
Hata nikimuona namuona kaa nungunungu
Sio kama namvunjia heshimaa
Makombe amalize ajifushe na nyungu
Akakoge na maji ya kisima
Ila Mimi nilishaapa kwa mwenyezi mungu
Haitojirudia daima
Chorus
Sitaki tena
Tena mwambieni asinisumbue mimi
Sitaki tena
Nipo bukheri na nafsi yangu uu
Sitaki tena
Abaki na zake nibaki na zaaanguuu
Sitaki tena
Nipo bukheri na nafsi yangu uuu
Mwambieni sijutii kuwa mbali nae apunguze presha aaa
Mwambieni sililii penzi lake nilisha lihitimisha ooh
Comments (0)
📌 By commenting, you agree to follow these rules. Let’s keep PearlTunes, Africa a safe and vibrant place for music lovers!