Kushki - Chege
Kushki - Chege

Kushki

Chege (feat. Phina)
19 views

Kushki Lyrics

Chege (feat. Phina) - Kushki Lyrics

Waga silali, bila kuona text yako mpenzi Sara
Hunijia kwa mawazo, ndoto
Umeniwasha si masihara
Kwako sihemi
Utamu kama chips vuruga
Umeniweza boy
Hofu sioni
Niendeshe unavyotaka penzi shata shata
Ukideka ukideka kama mtoto
Samba soti misamba nipe shosho
Unanipa mia nkitaka more
We ndo nlokuimbia ile sio kitoto
Yaani kama Messi mwendo kunyatia
Uchu wa fisi mifupa nafakamia
Baby nipe kiss maneno ya kuvutia
Wakitudiss tunatangaza nia

Kushki eeh, kushki (Eeeh kushki)
Kushki kushki kushki (kushki mi amor)
Kushki wooh kushki (Eeeh kushki)
Kushki kushki kushki

Kushki eeh, kushki (Eeeh kushki)
Kushki kushki kushki (kushki baby)
Kushki wooh kushki (Eeeh kushki)
Kushki kushki kushki

La lala lalala kifuani lalala
La lala lalala kifuani lalala

Mapenzi matamu unayonipa mayani
Walahi walahi nshakuficha kifuani
Na waseme zuzu zuzu mi zuzu
Nkose gubu gubu gubu
Nabaki bubu bubu bubu
Ukilegea nakuwekea
Wanipa raha si utani
Moyo wangu sijaweka rehani
Nkishakula hulamba sahani
Baby hodari wa kunipea

La lala lalala kifuani lalala
La lala lalala kifuani lalala

Ukideka ukideka kama mtoto
Samba soti misamba nipe shosho
Unanipa mia nkitaka more
We ndo nlokuimbia ile sio kitoto
Yaani kama Messi mwendo kunyatia
Uchu wa fisi mifupa nafakamia
Baby nipe kiss maneno ya kuvutia
Wakitudiss tunatangaza nia

Kushki eeh, kushki (Eeeh kushki)
Kushki kushki kushki (kushki mi amor)
Kushki wooh kushki (Eeeh kushki)
Kushki kushki kushki

Kushki eeh, kushki (Eeeh kushki)
Kushki kushki kushki (kushki baby)
Kushki wooh kushki (Eeeh kushki)
Kushki kushki kushki

Comments (0)

📌 By commenting, you agree to follow these rules. Let’s keep PearlTunes, Africa a safe and vibrant place for music lovers!

Chege Lyrics

Show all →