Rara - Phina
Rara - Phina

Rara

Phina (feat. Jux)
30 views

Rara Lyrics

Phina (feat. Jux) - Rara Lyrics

[Verse 1]

Mapenzi, mapenzi, mapenzi
Unataka nini mapenzi, mapenzi
Nawaza ushenzi, ushenzi
Babay all time kichwani ni mapenzi
Give me your love tonight am give my number
You'll need me call me, call me
Baby am come night kichonge kitanda
Ata kishisholombi, only you

[Pre-Chorus]

Hapa watapotea kutupata makosa, makosa
Wametukosa na maneno yanachosha
Ukikosa babycare nipake ya mwamposa
Inatosha baby, inatosha, inatoshaa

[Chorus]

Baby give to me rarara rara, rara, raa
Uuh yeeh, rara, rara, raa
Uuh yeeh, rara, rara, raa
My only one the one rarara rara, rara, raa
Rarara rara, rara, raa, rarara rara, rara, raa

[Verse 2]

Mpenzi, mpenzi, mpenzi
Unataka nini mpenzi, mpenzii
Najua hupendi, hupendi
Kubaki mwenyewe, basi kazini siendi

[Verse 3]

Sikuzaliwa bubu oh yeah
Ila kwako siwezi sema
Mmh mi kwako nishatubu
Na mwengine sitaki tena

[Pre-Chorus]

Hapa watapotea kutupata makosa, makosa
Wametukosa maneno yanachosha
Nikikosa babycare ntakupaka ya mwamposa
Inatosha baby, inatosha
Ooh inatosha mmh

[Chorus]

Baby give to me rarara rara, rara, raa
Uuh yeeh, rara, rara, raa
Uuh yeeh, rara, rara, raa
My only one the one rarara rara, rara, raa
Rarara rara, rara, raa, rarara rara, rara, raa

Comments (0)

📌 By commenting, you agree to follow these rules. Let’s keep PearlTunes, Africa a safe and vibrant place for music lovers!