Wamerudiana Lyrics
Phina - Wamerudiana Lyrics
N’tam tazamaje
N’tam tazamaje
N’tam tazamaje
Hayaishi ooh
Mawazo hayaniishia
Hayaishi ooh
Hayaishi ooh
Siishiwi kukufikiria
Hayaishi ooh
We si uliniambia
Ulipotoka nyuma uliumizwa
Ukateswa ukaumia
Mapenzi, ukachukia
Tena ukaniambia
Umeshachoka kutwa kulizwa
Ulikosea njia
Ulidhani mwanga kumbe giza
Ulinidanganya
Mi wa kufa kuzikana
Name nikazama
Kukupenda Baba
Ye si ndo alofanya
Ukalia sana
Moyo ukaugawanya
Mbona mmerudiana
Me siamini tena mapenzi
Wamerudiana, wamerudiana
Ndo yule alomuumizaga
Wamerudiana
Alouponda moyo wake
Wamerudiana
Kumbe n’lipoteza muda
Kumpigia guitar mbuzi
Sikuju ungekuwa yuda
Ningepata maudhi
Mengi uliniambia
Haumpendi unamchukia
Nyongo imetumbukia
Hautaki hata kumsikia
Mnyonge nikakuhurumia
Chozi n’kakufuta pia
Yote yamesahaulika
Leo umemrudia
Yeallah bi huruma yangu
Ndio hiyoniponza
Niliompa moyo wangu
Kanipa kidonda
Ulinidanganya
Mi wa kufa kuzikana
Name nikazama
Kakupenda Baba
Ye si ndo alofanya
Ukalia sana
Moyo ukaugawanya
Mbona mmerudiana
Siamini tena mapenzi
Wamerudiana, wamerudiana
Ndo yule alomuumizaga
Wamerudiana
Alouponda moyo wake
Wamerudiana
N’tamtazamaje
N’tamtazamaje
Comments (0)
📌 By commenting, you agree to follow these rules. Let’s keep PearlTunes, Africa a safe and vibrant place for music lovers!