Msichana Hodari Lyrics

Phina, Wini, Frida Amani, Marissa - Msichana Hodari Lyrics

Verse 1

Ooohoo yayaayaa (dada hood)
Kwanza thank lord kwa jinsi ulivyoniumba
Pili iam strong msichana siwezi kuyumba
Na mwendo wangu polepole
Sikatishwi tamaa napokwenda
Japo kupata kuna foleni ila hakuna cha kushinda
Acha majaribu yawe jangwa siogopi mi ni ngamia
Mana najua napokwenda ndoto yangu itatimia
And am still still strong mpaka ndoto zangu zitimie
I will never be the same nataka kuwa mfano kwa dunia

Chorus

Nasimamaa imara (msichana najiheshimu)
Nasimama imara (nautunza utu wangu)
Nasimama imara ( msichana najiamini)
Nasimama imara (ooh nina ndoto kubwa ooh kubwaa iyaaa eeeh)

Verse 2

Msichana jeshi kubwa tapambana bila kuchoka
Hata kimbunga na dhoruba haviwezi kuniangusha
Heeeii sichagui kazi ili mradi chapaa sibagui kazi ili mradi chapaa eeh (chapa eeh)
Machozi jasho yatatoka nitajizuia kudondoka
Nia yangu haitotoka hata siku nikichoka
Acha majaribu yawe jangwa siyaogopi mi ngamia
Mana najua napokwenda na ndoto yangu itatimia

Chorus

Nasimamaa imara (msichana najiheshimu)
Nasimama imara (nautunza utu wangu)
Nasimama imara ( msichana najiamini)
Nasimama imara (ooh nina ndoto kubwa ooh kubwaa iyaaa eeeh)

Verse 3

Yoou eh!
Mi ndo picha kamili mi ndo ile picha ya kuiamini
Picha ya msichana akipigana anaweza kuwa nini
Anakuwa kama mimi
Mi ndo yule nliyetoka a city chochote sina
Leo tanzania inanijua nna jina
Icon kabisa binti mwenye future
Pride a self anapigana kila 'kicha kuandika historia
I was here nilipita so tulipita nimepata kile nachotaka nawe unaweza pata kile unachotaka
I have a dream bigger than martin luther king naamini kwako queen kwa pamoja tuwe timu ya ushindi

Chorus

Nasimamaa imara (msichana najiheshimu)
Nasimama imara (nautunza utu wangu)
Nasimama imara ( msichana najiamini)
Nasimama imara (ooh nina ndoto kubwa ooh kubwaa iyaaa eeeh)

Verse 4

Msichana hodari anajitambua
Anajiamini ana ndoto kubwa
Dada hood msichana initiative
Nasimama imara heey
Msichana onesha uwezo wako
Msichana mwenye ndoto ni moto
A girl with dream is fire

Comments (0)

📌 By commenting, you agree to follow these rules. Let’s keep PearlTunes, Africa a safe and vibrant place for music lovers!