Yamenizidi - Maua Sama
Yamenizidi - Maua Sama

Yamenizidi

13 views

Yamenizidi Lyrics

Maua Sama - Yamenizidi Lyrics

[Chorus]

Haya mapenzi yamenizidi jamani
Yamenilevya, yamenipanda kichwani
Haya mapenzi yamenizidi jamani
Yamenilevya, yamenipanda kichwani

[Verse]

Baby, you’re my everything
You’re the air that I breathe
My love for you is real
Njoo unipende na mimi
Coz you’re my everything
I love you, baby
I need you here with me
Njoo unipende mimi

[Pre-Chorus]

Kama tukikosana, tukae chini
Tuyaongee
We ndo baba, mi mama
Everything will be okay
Hata wakibana waje
Na nyundo wagongelee
Mi nawe, kuachana
Haitokuja itokee

[Chorus]

Ayeeeh, ayeeeh, ayeeeh
Nnaempenda asimame
Ayeeeh, ayeeeh, ayeeeh
Nnaempenda asimame
Ayeee, ayeee, ayeeee
Haya mapenzi yamenizidi jamani
Yamenilevya, yamenipanda kichwani
Haya mapenzi yamenizidi jamani
Yamenilevya, yamenipanda kichwani

[Verse]

No one like you kati ya billion nane
Nimekuchagua wewe
It's only you
Only you
Oooh, baby youuu
Hata tukizaliwa tena
Nitakuchagua wewe
Yes, I do
Oooh, yes, I’ll do

[Pre-Chorus]

Kama tukikosana, tukae chini
Tuyaongee
We ndo baba, mi mama
Everything will be okay
Hata wakibana waje
Na nyundo wagongelee
Mi nawe, kuachana
Haitokuja itokee

[Chorus]

Ayeeeh, ayeeeh, ayeeeh
Nnaempenda asimame
Ayeeeh, ayeeeh, ayeeeh
Nnaempenda asimame
Ayeee, ayeee, ayeeee
Haya mapenzi yamenizidi jamani
Yamenilevya, yamenipanda kichwani
Haya mapenzi yamenizidi jamani
Yamenilevya, yamenipanda kichwani

Comments (0)

📌 By commenting, you agree to follow these rules. Let’s keep PearlTunes, Africa a safe and vibrant place for music lovers!

Maua Sama Lyrics

Show all →