Baba Jeni - Maua Sama (feat. Nay Wa Mitego)
Baba Jeni - Maua Sama (feat. Nay Wa Mitego)

Baba Jeni

14 views

Baba Jeni Lyrics

Maua Sama (feat. Nay Wa Mitego) - Baba Jeni Lyrics

[Intro : Nay Wa Mitego]

The True boy is in the building
Baba Jeni
Nipo na mama jeni
Sama

[Verse : Maua Sama]

Hivi we hufikiri hufikiri
Kuwa nawe siwezi
Kweli siwezi
Kukupa moyo
Eti tuwe wawili wawili
Hizo share siwezi
Kwenye mapenzi utaniumiza moyo
Kwanza unanionaje
Pisi kali yakwenda
Tena nina jina mimi
Nakuhifadhi unavimba, unavimba

[Pre-Chorus : Maua Sama]

Tena we na mashemeji
Akili kisoda aah kisoda
Niwe nawe wa nini
Hunifikishi Kigoma

[Chorus : Maua Sama]

Baba jeni bye bye, bye bye
Baba jeni bye bye, bye bye
Baba jeni bye bye, bye bye
Baba jeni bye bye, bye bye

[Verse : Nay Wa Mitego]

Mama Jeni Relax
Listen to me baby
Oh Baby
Haimaanishi sijamuona mwengine ila nakupendaga wewe
(Nakupendaga wewe)
Oh Baby
Nipo tayari niache mambo mengine ili mradi nitulie nawe
(Nitulie nawe)
Skia "Mama Jeni"
Kipindi nakutoa kwenu Mama Jeni kwanza ulikuwa Mshamba (Mshamba)
Leo unaniona me sio size yako kisa umejua kudanga
Kama ni U-Star mi mwenyewe ni Star
Hizo pigo za kuvimba ni ushamba
Kwanza SHepu huna Sura huna
Napendwa na pisi kali ndo maana roho inakuuma

[Pre Chorus : Nay Wa Mitego]

Tatizo sio mashemeji
Akili zako kisoda
Mpaka kwa mafundi Garage
Unagawa uroda

[Chorus : Maua Sama & Nay Wa Mitego]

Baba jeni bye bye, bye bye
Baba jeni bye bye, bye bye
Baba jeni bye bye, bye bye
Baba jeni bye bye, bye bye

Comments (0)

📌 By commenting, you agree to follow these rules. Let’s keep PearlTunes, Africa a safe and vibrant place for music lovers!

Maua Sama Lyrics

Show all →