Pambe Lyrics
Maua Sama - Pambe Lyrics
[Verse]
Wanatamani unitose, boy wapate kusemaga
Nami nijaze ujuzi, show iwe kama zagazaga
Eeeh, useme ni koloni koloni, ndo utavyonichanganya
Ukanipange huko sokoni, kama fungu ya nyanya
Ujue mwenzio mwenzio, umeshanishika masikio
Kipenda roho, penda roho, kamatia baba
Wangu moyo mbio mbio, achana nao viredio
Furaha ikageuka kilio, zingatia baba
[Pre-Chorus]
Nakamata chaga, kasheshe
Gonga ndani, tucheze
Makida rede, changanya mazaga
[Chorus]
Hooo baaby, mambo nipambe
Wacha nkugande pambe pambe yooo
Pambe pambe yooo, pambe pambe yoooh
[Verse]
Nusu yangu unayo wewe
Usiondoke, nikamilishe
Wasiniibe mapedeshee
Wakucheke, unidhalilishe
Uuuh baby, umeni-murder
Kwako nimеkaa, nimejenga kibanda nda nda nda
Usiku unanipaga bada bing bada boom
Usikate shanga nga nga nga
[Pre-Chorus]
Nakamata chaga, kashеshe
Gonga ndani, tucheze
Makida rede, changanya mazaga
[Chorus]
Hooo baaby, mambo nipambe
Wacha nkugande pambe pambe yooo
Pambe pambe yooo, pambe pambe yoooh
Comments (0)
📌 By commenting, you agree to follow these rules. Let’s keep PearlTunes, Africa a safe and vibrant place for music lovers!