Itakuwaje Lyrics
Maua Sama (feat. Alikiba) - Itakuwaje Lyrics
[Intro]
M.A.U.A Sama
Yeah
Gini x66
[Verse 1 : Alikiba]
Nilisema sitopenda, nimependaa
Pendaa tena, aah (aaah)
Sasa nimeshatekwaa, mi nimetekwaa
Oh, tekwa tena
[Pre Chorus : Alikiba]
Yani kama njiwa tunapepea wawili
Mi na yeye, hatuna kitendawili
Nanenepa jamani, si kwa penzi hili
Nisipomwona, mi navurugwa akili
[Chorus : Maua Sama]
Mi nawaza, akiniacha
Saa itakuwaje? Saa itakuwaje? Saa itakuwaje?
Mi nawaza, akiniacha
Saa itakuwaje? Saa itakuwaje? Saa itakuwaje?
[Verse 2 : Maua Sama]
Maapenzi anayonipa
Sitomwacha hata aniache katakata
Kwa gari nimeshafika
Sitoshuka hata anishushe katakata
[Pre Chorus : Maua Sama]
Kama njiwa tunapepea wawili
Mi na yeye, hatuna kitendawili
Nanenepa jamani, si kwa penzi hili
Nisipomwona, mi navurugwa akili
[Chorus : Alikiba & Maua Sama]
Mi nawaza, akiniacha (Uanze wewe? Saa itakuwaje?)
Saa itakuwaje? Saa itakuwaje? Saa itakuwaje?
Mi nawaza, akiniacha (Uanze wewe au mimi?)
Saa itakuwaje? Saa itakuwaje? Saa itakuwaje?
[Outro]
Mi nawaza, akiniacha
Aaaaaaa saa itakuwaje, beibeeii?
Comments (0)
📌 By commenting, you agree to follow these rules. Let’s keep PearlTunes, Africa a safe and vibrant place for music lovers!