Keep Quiet - Maua Sama
Keep Quiet - Maua Sama

Keep Quiet

12 views

Keep Quiet Lyrics

Maua Sama - Keep Quiet Lyrics

[Verse 1]

Hizi simu za asubuhi, basi atakuwa Babe
Ama ndo Danga jipya, fupi lenye matege
Eti siku hizi najishauwa, ebu punguzeni ngebe
Wakipanga kunishusha, basi Yesu nibebe
Aah, nimehama Mbagala
Shoga yangu, nipo Sinza Madukani
Nakaribia kwenda Uturuki
Mi si nitarudi mwakani

[Pre Chorus]

Zile picha zangu mlosema za utupu
Si zimenipa Professor?
Amenipa gari, naendesha
Ona ninavyowatesa

[Chorus]

Basi Shhhhiiii, keep quiet
Hayo ndo maisha yangu
Si mnasema nadanga?
Basi nyie sio level zangu
Basi Shhhhiiii, keep quiet
Haya ndo maisha yangu
Si mnasema nadanga?
Basi nyinyi sio level zangu

[Hook]

Zombie
Ohooo oohoooo
Ohooo oohoooo
Ohooo oohoooo

[Verse 2]

Choocha choocha, wanakuchocha
Ujanja wangu, me sishindani na wakimboka
Level zetu hazifanani, unajichosha
Unataka ushindane na nani? Ndo nakupasha
Aah, nimehama Mbagala
Shoga yangu, nipo Sinza Madukani
Nakaribia kwenda Uturuki
Mi si nitarudi mwakani

[Pre Chorus]

Zile picha zangu mlosema za utupu
Si zimenipa Profеssor?
Amenipa gari, naendesha
Ona ninavyowatеsa

[Chorus]

Basi Shhhhiiii, keep quiet
Hayo ndo maisha yangu
Si mnasema nadanga?
Basi nyie sio level zangu
Basi Shhhhiiii, keep quiet
Haya ndo maisha yangu
Si mnasema nadanga?
Basi nyinyi sio level zangu

[Hook]

Zombie
Ohooo oohoooo
Ohooo oohoooo
Ohooo oohoooo

[Outro]

Mumy usijali, mumy usijali, mumy usijaliiii!

Comments (0)

📌 By commenting, you agree to follow these rules. Let’s keep PearlTunes, Africa a safe and vibrant place for music lovers!

Maua Sama Lyrics

Show all →