I Don't Care Lyrics
Maua Sama - I Don't Care Lyrics
[Verse]
Hivi ni kweli kweli
Haya ndio yale ulowaahidi
Ooh
Umenitapeli-peli
Na sina haja ya shahidi
We ndoo
[Verse]
Natamani ungekuwa wa moyoni
Na ndo vile ni ngumu
Oh ni ngumu
Naomba maziwa naumia
Mana we ndio umeninywesha hii sumu
Ooh sumu
[Pre-Chorus]
So
Unavyotaka nataka I don't care
Vile utavyokuja ndo ntavyokukopea
Mapenzi kamari mchezo wa pata potea
Makosa ufanye wewe mi ndo najitetea
[Chorus]
Mapenzi haya (Nainama)
Ooh (Nainuka)
Ooh (Nayanyoshea mikono)
Mapenzi haya (Nainama)
Ooh (Nainuka)
Ooh (Nayanyoshea mikono)
[Refrain]
Hunifanya mimi niwe ng'aring'ari
Sio rahisi, sio rahisi
Ninampenda yeye, ye anapenda wali
Navyohisi, navyohisi
[Verse]
Ama unadhani sina hisia
Mambo mangapi tumepitia
Nakusamehe unarudia
Yamenishinda mi najihoji
[Pre-Chorus]
Unavyotaka nataka I don't care
Vile utavyokuja ndo ntavyokukopea
Mapenzi kamari mchezo wa pata potea
Kosa ufanye wewe mi ndo najitetea
[Chorus]
Mapenzi haya (Nainama)
Ooh (Nainuka)
Ooh (Nayanyoshea mikono)
Mapenzi haya (Nainama)
Ooh (Nainuka)
Ooh (Nayanyoshea mikono)
[Refrain]
Hunifanya mimi niwe ng'aring'ari
Sio rahisi, sio rahisi
Ninampenda yeye, ye anapenda wali
Navyohisi, navyohisi
Comments (0)
📌 By commenting, you agree to follow these rules. Let’s keep PearlTunes, Africa a safe and vibrant place for music lovers!