Katu Katu Lyrics
[Intro]
Baby yeah
Sama
Uh uh, Uh uh
Uh uh, Uh uh
[Verse 1]
Hitaji la moyo
Nifanye nn kwako ili nitimize
Kwa penzi la uchoyo
Uclipende na bado nafsi ikupenge (oh baby)
[Pre-Chorus]
Kama umeshachoshwa nami nambie (he he he)
Kuliko kunifanya mapenzi nichukie (he he he)
Nicpende mwingine mapenzi nijutie (he he he)
Kuhofia ya leo yacjirudie (he he hheeee.)
[Chorus]
Katu katu katu
Katu katu katu
Katu katu katu (penzi hili ni katu)
Katu katu katu
Katu katu katu
Katu katu katu (penzi hili ni katu)
[Verse 2]
Oh baby penzi umelitia doa
Na kama n jazba, sawa nabidi kukosoa
HNa shindwa roho kwa haya mateso
Nikidharau itakuwa kamchezo
Hunidanganye
Kumbe unipendi bwana aaaaah!
[Pre-Chorus]
Kama umeshachoshwa nami nambie (he he he)
Kuliko kunifanya mapenzi nichukie (he he he)
Nicpende mwingine mapenzi nijutie (he he he)
Kuhofia ya leo yacnirudie yeyeeeee
[Chorus]
Katu katu katu
Katu katu katu
Katu katu katu (penzi hili ni katu)
Katu katu katu
Katu katu katu
Katu katu katu (penzi hili ni katu)
[Pre-Chorus]
Kama umeshachoshwa nami nambie (he he he)
Kuliko kunifanya mapenzi nichukie (he he he)
Nicpende mwingine mapenzi nijutie (he he he)
Kuhofia ya leo yacnirudie yeyeeeee
[Chorus]
Katu katu katu
Katu katu katu
Katu katu katu (penzi hili ni katu)
Katu katu katu
Katu katu katu
Katu katu katu (penzi hili ni katu)
Song Tags
Comments (0)
📌 By commenting, you agree to follow these rules. Let’s keep PearlTunes, Africa a safe and vibrant place for music lovers!