intro
Eyo Trone
Ayo Lizer
verse
Eti nimemlambisha
Ananiambia chombeza (chombeza)
Tena nikiizidisha
Ananiambia koleza (koleza)
Nikitaka kusitisha
Ananiambia ongeza (ongeza)
Japo imedhibitishwa
Ila itampoteza
hook
Ikipanda ni balaa (naogopa)
Ikishuka ndo hatari (naogopa)
Asijepata madhara (naogopa)
Akaikosa na hali (naogopa)
Ladha yake msala (naogopa)
Shira ya Kizanzibari (naogopa)
Na mi simpi mi wala (naogopa)
Akitaka nampa
chorus
Aii sukari (nampatia)
Ah sugar sukari (nampatia)
Sukari (nampatia)
Ah sugar sukari (nampatia)
Sukari (nampatia)
Sugar sukari (nampatia)
Sukari (nampatia)
Ah sugar sukari (nampatia)
Yelele, yelele
verse
Na akilia njaa
Ju njaa sifanyi ajizi
Namjazia jar
Ju jaa na vitangawizi
Baba chanja, baba chanja eh (eeeeh)
Chukua vyote chukua (kula)
Vitafune nganja nganja (eeeeh)
Chagua mwaya chagua (kula)
Ujiboosti na karanga eh (eeeeh)
Tuliza na kitumbua (kula)
Jihadhari na majanga we
Usije ukaugua maana
hook
Ikipanda ni balaa (naogopa)
Ikishuka ndo hatari (naogopa)
Asijepata madhara (naogopa)
Akaikosa na hali (naogopa)
Ladha yake msala (naogopa)
Shira ya Kizanzibari (naogopa)
Na mi simpi mi wala (naogopa)
Akitaka nampa
chorus
Aii sukari (nampatia)
Ah sugar sukari (nampatia)
Sukari (nampatia)
Ah sugar sukari (nampatia)
Sukari (nampatia)
Sugar sukari (nampatia)
Sukari (nampatia)
Ah sugar sukari (nampatia)
bridge
Nimroge kwanini kashanogewa (daambua dambua)
Udambu wa sukarini tamu kolea (daambua dambua)
A sema da dambua (dambua)
We dambua (dambua)
Alua aluaa (dambua)
We dambua (dambua)
A sema da dambua (dambua)
We dambua (dambua)
Inama kama unafua (dambua)
Kiguru nyanyuaa (dambua)
Eeey!