(Intro)
LG ih
LG ah, ah ah
Mr LG
(Verse 1)
Ndo kakwambia ataniacha
Haha hehe unachekesha sana
Hizo ni ndoto za alinacha
Haha hehe anakundanganya
Hata umpe nini
Hunin'goi Unajisumbua mwaya
Huyo bila mimi, hatoboi
Nimemshika pabaya
(Pre-Chorus)
We chezewa ukimaliza kwenda
Hatuachani kisa ujinga
We chezewa ukimaliza kwenda
Hatuachani kisa ujinga
Na nikikukuta nae
(Chorus)
Patachimbika
Nitakutia makwenzi
Nitakutikisa
Patachimbika
Nitakutia makwenzi
Nitakutikisa
(Verse 2)
Kwanza unitambie umenizidi nini
Kubattlle na mie
Uje na wenzako tisini
Uliza uambiwe
Mimi mtoto wa nani (Kapaa)
Ukijifanya chawa
Mi mwenzako kunguni
Huna nini ?
Huna jipya nenda kwa mwampopo
Kikisafishwa labda ndo upate soko
Huna nini ?
Huna jipya nenda kwa mwampopo
Kikisafishwa labda ndo upate soko
(Pre-Chorus)
We chezewa ukimaliza kwenda
Hatuachani kisa ujinga
We chezewa ukimaliza kwenda
Hatuachani kisa ujinga
Na nikikukuta nae
(Chorus)
Patachimbika
Nitakutia makwenzi
Nitakutikisa
Patachimbika
Nitakutia makwenzi
Nitakutikisa