intro
Mh-mmh
Nani Roney?
Ah, Roney (he-hey, yoh Tron)
Sing, mmh, eeh
Let sing, come on, eeh
verse
Sioni aibu
Kwa kila linalo nifika
Maana kukosea ni wajibu
Mola ameshaandika
pre-chorus
Na sianguki, mimi nimechaguliwa
Nnae mtegemea hachoki
Hajawahi kupitiwa
Mnavyotuma viniue, ndo vinanikuza
Vinanipa ujasiri, nakua gado kamili
Ukitaka kunidhuru mie, upite kwake kwanza
Mungu wangu halali, ana ulinzi mkali
chorus
Na ndio mana naringa, naringa
Naringa, naringa
Naringa, nalindwa na mungu
Msinione navimba, navimba
Navimba, navimba
Navimba, nalindwa na mungu
bridge
Raise your glass
Cheers to the Lord
verse
Roho mbaya, ubinafsi hajaumbiwa nyungu-nyungu
Wala mtu mwenye maarifa
Kweli mabaya sikosi, najua mazuri yangu
Mtayasema nikifa ah, eh
Unaniona napambana, kwa tabu na dhoruba
Nilinde virogo vya walimwengu visinifike ng′o
Utadhani wao hawana, umewapa vikubwa
Ila bado hiki kidogo changu kinawatoa roho, eh
pre-chorus
Na sianguki mimi nimechaguliwa, aah
Nnae mtegemea hachoki
Hajawahi kupitiwa, hey
Mnavyotuma viniue, ndo vinanikuza
Vinanipa ujasiri, nakua gado kamili
Ukitaka kunidhuru mie, upite kwake kwanza
Mungu wangu halali, ana ulinzi mkali
chorus
Na ndio mana naringa, naringa
Naringa, naringa
(Mimi) naringa, nalindwa na mungu
Msinione navimba, navimba (ooh)
Navimba, navimba
Navimba, nalindwa na mungu
outro
Kamix Slizer