Kimenuka - Geniusjini X66 (feat. Dogo Janja)

Kimenuka

16 views

Kimenuka Lyrics

Geniusjini X66 (feat. Dogo Janja) - Kimenuka Lyrics

Iiih Genius Jini X double 6

Kimenuka Masela huku kimenuka (Kimenuka)

Kimenuka (Kimenuka) Kimenuka (Kimenuka)

Nasikia kidibwi kumejaa
Madem kibao mpaka hakuna pakukaa
Yani isiullize mwanangu ni cheche
Kama huko na wana shazi ka vipi walete
Tupo kibao tuna vibe la mitungi
Tupo zetu kitamba tuna saka na mirungii

Kwani vipi kitamba kumeshona
Kumeshona hile mbaya
Tunacheza kwa step hakuna kukanyaga waya
Oya wait one time
Kuna kapis nahisi  kamenipenda
Kana jicho alafu domo la denda
Kana jivuta utadhani tonge la mlenda

Hebu kwanza kaulize kwa mparange kanaenda
Oya mwana mi naacha sigara (uhuu)
Oya mwana mi naacha kulala (uuhuu)
Oya mwanga mi naacha bangi (uhhu)
Oya mwana mi naacha mirungi (uhuu)
Ila pombe na madem (nooo… no , no, no)

Kimenuka Masela huku kimenuka (Kimenuka)
Kimenuka Masela huku kimenuka (Kimenuka)
Kimenuka Masela huku kimenuka (Kimenuka)
Kimenuka (Kimenuka), Kimenuka (Kimenuka)

Kimenuka (Kimenuka); Kimenuka (Kimenuka)

Nasikia porto mnako shazi
Natoka kidimbwi Nakamata mwendo kasi
Eeh! Mpaka dar nzima watujue
Ikiwezekana hata moro tutoboe
Dom mwanza moshi Arusha
Kote tutimbe kama mapusha

Usiku mmoja tu
Ufanye kama mwaka
Tukitoka chuga hao mpaka tanga

Acha maneno mobu
Niko na manzi anapiga kaulabu
Kumbe kvant kamaliza bado kavu
Duuh huyo noma
Mwanangu hela
Leo utaisoma
Navipi manjeu upo full au homa

Sina hata mia na nimelewa bwi
Nakamata hii manzi Nikachinje Saidi P

Oya mwana mi naacha sigara (uhuu)
Oya mwana mi naacha kulala (uuhuu)
Oya mwanga mi naacha bangi (uhhu)
Oya mwana mi naacha mirungi (uhuu)
Ila pombe na madem (noooo… no , no, no)

Kimenuka Masela huku kimenuka (Kimenuka)
Kimenuka Masela huku kimenuka (Kimenuka)
Kimenuka Masela huku kimenuka (Kimenuka)
Kimenuka (Kimenuka), Kimenuka (Kimenuka)

Kimenuka Masela huku kimenuka (Kimenuka)
Kimenuka Masela huku kimenuka (Kimenuka)
Kimenuka Masela huku kimenuka (Kimenuka)
Kimenuka (Kimenuka); Kimenuka (Kimenuka)

Comments (0)

📌 By commenting, you agree to follow these rules. Let’s keep PearlTunes, Africa a safe and vibrant place for music lovers!