Kamtu (Remix) - Geniusjini X66 (feat. Kusah)
Kamtu (Remix) - Geniusjini X66 (feat. Kusah)

Kamtu (Remix)

16 views

Kamtu (Remix) Lyrics

Geniusjini X66 (feat. Kusah) - Kamtu (Remix) Lyrics

Haka labda kameniroga 
Maana sio bure 
Hili huba nnalo mi linanichanganya 
Labda dawa amekoroga 
Maana yamenoga 
Penzi flani la kukoroga 
Nyama nyama nyama 
Mkiona nenenepa, nina vimba
Ni hata kamtu
Mkiona sionekani, nimefichwa
Na hata kamtu
Nakajengea sasamu
Mkaaone mkaone mkaone
Nakachora na tattoo
Mkaaone mkaone mkaone
Ooh baby I promise you
I go be your backup
I go be your real baby
I go be your daddy
Na when you miss me baby, call me
Anything you want baby, tell me
Baby I promise you I go be your size
So let me make you queen of my life
I will never leave you alone
Because many many things
You know about me
Mkiona nenenepa, nina vimba
Ni hata kamtu
Mkiona sionekani, nimefichwa
Na hata kamtu
Nakajengea sasamu
Mkaaone mkaone mkaone
Nakachora na tattoo
Mkaaone mkaone mkaone
Hakana maringo ooh na nikarembo
Katoto cha watu na hakajishauwi
Yani ndondondoo oh si nchururu
Ndege kwa urimbo nimetulia tuli

Comments (0)

📌 By commenting, you agree to follow these rules. Let’s keep PearlTunes, Africa a safe and vibrant place for music lovers!