Bailando Lyrics
Geniusjini X66 - Bailando Lyrics
Oh oh oh oh oh oh oh
Yalaishwe duniani
Leo napumua na kesho akhera
Naifanyike kwetu nyumbani
Nimeweka dhamana
Nimeachana na usala
Meni-overdosing we mchokozi
Umenivuruga unachanganya bolanga ta
Yaani yaani meniingia mwenzako
Yaani yaani nakupenda peke yako
Baila baila baila
Baila baila bailando
Baila baila baila
Nakupenda
Baila baila bailando
Mmmmmm
Saki kitamimi mwenzako
Ninangizide ubali wako kwa hizi raha za pwani zilanizidiya
We ni mwezi na miniota
Tulipishe jua al fajiri pa kikucha
We ni mwezi na miniota
Tulipishe jua al fajiri pa kikucha
Yaani yaani meniingia mwenzako
Yaani yaani nakupenda peke yako
Baila baila baila
Baila baila bailando
Baila baila baila
Nakupenda
Baila baila bailando
We ni mwezi na miniota
Tulipishe jua al fajiri pa kikucha
Oh oh!
Comments (0)
📌 By commenting, you agree to follow these rules. Let’s keep PearlTunes, Africa a safe and vibrant place for music lovers!