Yalaaaa Lyrics
Zuchu - Yalaaaa Lyrics
(intro)
Mojaaaa
Mocco
(verse)
Mmmh, kaniumbua umbua
Anavyonidadavua, vitu fulani vya kusisimua
Chachambua anavyoichambua
pre-chorus
Hunipa ni ng′ate ng'ate
Mikato unikate kate
Igande inate nate
Itelezeshwe kwa mate
(chorus)
Yalaaaa
Yalaaaa
Yalaaaa
Yalaaaa
Yalaaaa
Yalaaaa
Yalaaaa
Yalaaaa
(bridge)
Kanipania paniaaa
Na hajataka kuniachiaa
Kanipania pania
Na hajataka kuniachia
Kama samaki hulumakia
Huanza kichwa mpaka na mkia-ya-ya
pre-chorus
Naiomba serikali
Kijana apelekwe mbali ananifanya silali
Siwazi sitafakari
(chorus)
Yalaaaa
Yalaaaa
Yalaaaa
Yalaaaa
Yalaaaa (yalaaaa)
Yalaaaa (yalaaaa)
Yalaaaa (yalaaaa)
Yalaaaa (yalaaaa)
(hook)
Yahayuku yahayuku shukushuku (yahayuku)
Yahayuku yahayuku (yalaa) shukushuku (ulushukushuku)
Yahayuku (yahayuku)
Shukushuku (ka shukushuku)
Yahayuku (aii!) shukushuku
Yahayuku yahayuku shukushuku (yahayuku)
Yahayuku yahayuku (yalaa!)
Shukushuku (kulushukushuku)
Yahayuku (yahayuku)
Shukushuku (shukushuku)
Yahayuku aaii shukushukuuu
Aii tendeeee (tendeee)
Halua (haluaa) mama
Yahayuku yahayuku shukushuku (yahayuku)
Yahayuku yahayuku (yalaa kulushukushuku) shukushuku
Yahayuku (yahayuku)
Shukushuku (ka shukushuku)
Yahayuku (aii shukushuku) shukushuku
(outro)
Kamix Lizer
Comments (0)
📌 By commenting, you agree to follow these rules. Let’s keep PearlTunes, Africa a safe and vibrant place for music lovers!

Zuchu Lyrics
Show all →