Tiririka (Acoustic) Lyrics
Mapenzi yamenibadilisha
Siku hizi sinaga ubabe
Nishakuwa guta
Niache moyoni niyabebe baby
Mimi ni kuku wako
Ukitaka mayai niyatage sema
Na ujinga
We nisitiri usinibwage
Baby matamanio nishatupaga huko
Sintoivua vazi la heshima, ulionivisha kwa upendo
Sina matarajio ya kuondoka kwako
Dunia imeshabadili wengi wakawa vituko
Mapenzi sio mchezo wa ngumi
Nipige na khanga au ukuni
Hata ukinifinya finya haiumi
Naona raha
Naisoma namba kwa kirumi
Huu mchezo gani mbona wa kihuni
Hata ukinifinya finya haiumi
Aah naona raha
Unanijaza upendo mpaka unatiririka (Tiriririi)
Unanitiririka (Tiriririi)
Tiritiririririririi (Tiriririi)
Upendo unanitiririka mie (Tiriririi)
Tiriririi
Natiriririka kama si diaba najaza ndoo
Raha nnazompa eti kama marhaba nikimpa shikamoo
Haniachi njiani nafika, mi kwake Yes sisemi No
Siwezagi kususa nisipomuona, wafukuta moyo
Asante angalau umenionesha maana ya upendo
Na sio kwa nahau (Kwa nahau)
Umenionesha kwa vitendo
Sitokaaga nisahau
Nilinyanyasika hapo mwanzo
Niliyaoga madharau
Kwa kumpenda asiojali upendo
Mapenzi sio mchezo wa ngumi
Nipige na khanga au ukuni
Hata ukinifinya finya haiumi
Naona raha
Naisoma namba kwa kirumi
Huu mchezo gani mbona wa kihuni
Hata ukinifinya finya haiumi
Aah naona raha
Unanijaza upendo mpaka unatiririka (Tiriririi)
Unanitiririka (Tiriririi)
Tiritiririririririi (Tiriririi)
Upendo unanitiririka mie (Tiriririi)
Tiriririi
Comments (0)
📌 By commenting, you agree to follow these rules. Let’s keep PearlTunes, Africa a safe and vibrant place for music lovers!