Tunapendezana - Yammi
Tunapendezana - Yammi

Tunapendezana

17 views

Tunapendezana Lyrics

[Verse 1]

Acha nikubembeleze
Kwa ushahiri na utenzi
Ahsante mwalimu
Mwalimu wa mapenzi
Sogea niku non'goneze
Neno zuri la mapenzi
Kukuacha ni sumu labda apange Mwenyezi

[Pre-Chorus]

Nyoyo zetu zime shikamana baba umeziba ufa
Kasoro zetu twavumiliana twatenganishwa na kufa
Si kati yetu dosari hakuna baby umeni chepa-chepa
Mimi oo, oo, baby oo, oo

[Chorus]

Tume pendezaa tuna pendezana
Aah! Tume pendezana
Tuna pendezaa tume pendezanaa
Aah! Tume pendezana

[Verse 2]

Hata kama wakisema una machafu mengi
Siyaoni nimekwama shimo la mapenzi
Mi kwako nisha tulizana ku n'goka siwezi
Mimi oo, oo, oo, oo

[Pre-Chorus]

Nyoyo zetu zime shikamana baba umeziba ufa
Kasoro zetu twavumiliana twatenganishwa na kufa
Si kati yetu dosari hakuna baby umeni chepa-chepa
Mimi oo, oo, baby oo, oo

[Chorus]

Tume pendezaa tuna pendezana
Aah! Tume pendezana
Tuna pendezaa tume pendezanaa
Aah! Tume pendezana

Comments (0)

📌 By commenting, you agree to follow these rules. Let’s keep PearlTunes, Africa a safe and vibrant place for music lovers!