Oka Lyrics
Diamond Platnumz (feat. Mbosso) - Oka Lyrics
Intro
Ashi, ashika, ashi
Le general Dangote
Ashi, ashika, ashi
Kirungi bin shedede
Verse 1: Diamond Platnumz
Kananipa Mambo ya pwani Hadi napandisha (mazyiii)
Dozi kitandani had nazimika (ziii)
Haniti chibu anakatisha (chiii)
Ka nyakanga mwali anavyo katika
Chorus
Jamani Ale Ale Ale (Alele)
Alelele (Alele)
Oh Ale (Alele)
Alelele (Alele)
Asa oka, okaka
Oka, okaka
Oka, okaka
Oka, okaka
Verse 2: Diamond Platnumz
Baby ooh
Unifanya Nini
Mi mwana wa mwenzio
Maana kwako sioni, umenifunga na sikio
Ukinishika hapa (Utamu)
Ukinigusa huku (Utamu)
Ukinichumu Mimi (Utamu)
Ukinibusubusu jaman
Chorus
Oka, okaka
Oka, okaka
Oka, okaka
Oka, okaka
Verse 3: Mbosso
Kama konokono mwenda pole kwenye mchanga
Nakupa mkono wa kongole baby we mwamba
Hesabu za kukokotoa umenifunza wewe
Waniamisha mikoa bumbuli kwa ukerewe
Oh mapenzi ni kinywaji soft Barid
Wananuna mwenzao nikifaidi
Oh malеzi amerithi upande wa Bibi
Mwali nyuma Kama mlima itigi
Chorus
Oka, okaka
Oka, okaka
Oka, okaka
Oka, okaka
Verse 4: Diamond Platnumz
Usizidishe chumvi ntapata safura
Nimеambiwa jusi unachezaga chura
Asa chura (Anarukaruka)
Chura (Anajumpjump)
Ah chura oh oh (Anarukaruka)
Jamn chura (Anajumpjump)
Adede adede adede adede adede
Adede adede adede adede Fagilia (Waaah)
Eeeh Fagilia (Waaah)
(Verse 5: Mbosso)
Kusemasema kando hayo Mambo ya kinafiki
Kama wayaweza Mambo kuja unioneshe Kati
Chura (Anarukaruka)
Chura (Anajumpjump)
Ooh chura (Anarukaruka)
Chura (Anajumpjump)
Refrain
Adede adede adede adede adede yiiih
Adede adede adede adede Fagilia (Waaah)
Eeeh Fagilia (Waaah)
Inde inde inde baby inde
Inde inde inde nione inde
Inde inde inde baby inde
Asa inde inde inde nione inde
Outro
Huyo mtoto (anabalaa)
Mtoto (Anakusudi)
Muone mtoto (anabalaa)
Mtoto (Anakusudi)
Oooh anasifa (anabalaa)
Sifa za makusudi (Anakusudi)
Mwana anajibiringita (anabalaa)
Kifudi fudi (Anakusudi)
Comments (0)
📌 By commenting, you agree to follow these rules. Let’s keep PearlTunes, Africa a safe and vibrant place for music lovers!