Ni Wewe Lyrics
Sina furaha ya kupatia
Sina maneno ya kuchemsha
Roho yangu yauma
Mwili wangu wateta
Mbona huwa ni balaa
Ala ala ala
Ndararinda tawe
Siwezi ngoja
Kwani ni wewe tu wanipata
Kwani ni wewe tu sitaenda
Ni wewe tu nakuwaza
Kwani ni wewe tu
Ni wewe tu
Ni wewe wewe wewe wewe
Ni wewe wewe wewe wewe
Ni wewe wewe wewe wewe
Ni wewe wewe wewe wewe
Najua penzi letu sio siri
Natambua kuna wengi baharini
Lakini mimi
Sitatulia
Mimi
Sitakimbia
Mimi
Nishaamua kuwa ni wewe na mimi
Kwani ni wewe tu wanipata
Kwani ni wewe tu sitaenda
Ni wewe tu nakuwaza
Kwani ni wewe tu
Ni wewe tu
Ni wewe wewe wewe wewe
Ni wewe wewe wewe wewe
Ni wewe wewe wewe wewe
Ni wewe wewe wewe wewe
Ni wewe tu
Kwani ni wewe tu wanipata
Kwani ni wewe tu sitaenda
Ni wewe tu nakuwaza
Kwani ni wewe tu
Ni wewe tu
Ni wewe wewe wewe wewe
Ni wewe wewe wewe wewe
Ni wewe wewe wewe wewe
Ni wewe wewe wewe wewe
Ni wewe tu
Ni wewe tu
Song Tags
Comments (0)
📌 By commenting, you agree to follow these rules. Let’s keep PearlTunes, Africa a safe and vibrant place for music lovers!