Chapati - Abigail Chams (feat. Whozu, Chino Kidd)
Chapati - Abigail Chams (feat. Whozu, Chino Kidd)

Chapati

5
53 views

Chapati Lyrics

Intro

Aah aah … aah

Verse

Bwana we
Kwani we ni nani nikuwe nawe
Bwana we
Usinizoe eeh
Haiwezekani mi kuwa nawe
Bwana we

Chorus

Umempata mpenzi lakini hawezi kunifikia
Ooooh, hawezi kunifikia
Ana sura nzuri lakini hawezi kunifikia
Ooooh, hawezi kunifikia
Aaah aah aah, kunifikia
Aaah aah aah, hawezi kunifikia
Aaah aah aah, kunifikia
Aaah aah aah, hawezi kunifikia

Bridge

Eeeeh
Aaaah
Eeeeh
Aaaah

Verse

Nimekula kwako
Hutokuja pata atayekupenda kama mimi
Nimekula kwako
Hutokuja pata atayekupenda kama mimi
Shauri yako
Huyp mtu wako ana sura kama jini
Shauri yako
Huyp mtu wako ana sura kama jini

Chorus

Umempata mpenzi lakini hawezi kunifikia
Ooooh, hawezi kunifikia
Anapiga gym lakini tatizo ni kibamia
Ooooh, hawezi kunifikia
Aaah aah aah, kunifikia
Aaah aah aah, hawezi kunifikia
Aaah aah aah, kunifikia
Aaah aah aah, hawezi kunifikia

Verse

Usinifanye nimwage mchele kwenye umati
Usinifanye nimwage mchele kwenye umati
Mwanaume gani wewe
Ama unaka ka chapati
Mwanaume gani wewe
Ama unaka ka chapati
Usinifanye nimwage mchele kwenye umati
Usinifanye nimwage mchele kwenye umati
Mapenzi una force wewe
Wakati ashasema hakutaki
Mapenzi una force wewe
Wakati ashasema hakutaki

Chorus

Umempata mpenzi lakini hawezi kunifikia
Ooooh, hawezi kunifikia
Ana sura nzuri lakini hawezi kunifikia
Ooooh, hawezi kunifikia
Aaah aah aah, kunifikia
Aaah aah aah, hawezi kunifikia
Aaah aah aah, kunifikia
Aaah aah aah, hawezi kunifikia

Outro

Chaka chinja Chaka chinja
Chaka chaka chaka chaka chaka chinja
Chaka chinja Chaka chinja
Chaka chaka chaka chaka chaka chinja
Chaka chinja Chaka chinja
Chaka chaka chaka chaka chaka chinja
Chaka chinja Chaka chinja
Chaka chaka chaka chaka chaka chinja
Ewe!

Comments (0)

📌 By commenting, you agree to follow these rules. Let’s keep PearlTunes, Africa a safe and vibrant place for music lovers!