Wenge - Jay Melody
Wenge - Jay Melody

Wenge

13 views

Wenge Lyrics

[Intro]

Ooh boboo
Ooh bobo
Ooh boboo

[Verse]

Vile moyo unapwita, najionea sana huruma
Nakaa chini, nalia, najiangalia sijitamani
Chini na chimba, na tafuta mzizi, oh
Najitafutia dawa, usinga kwa hirizi
Najiita mjinga, j acha utoto
Najiona mjinga wenge kimtindo

[Pre-Chorus]

Hata tusiwe wapenzi, mama juwa naumia
Umeondoa mchuma, mama ngazi naachia
Leo unaienjoy upendo, mi nachezewa hisia
Penzi langu, mama, natamani irudi zamani

[Chorus]

Ah baby, ayayaa
Oh baby, oh wo wo
Inanichoma, ayayaa
Nakosa amani, oh wo wo
Ah baby, ayayaa
Inaniuma, oh wo wo
Najioneaga tu mabala, ayayaa
Ah wo wo, oh mapenzi
Ah mama, oh yeyeaah
Ah mama

[Verse]

Basi mapenzi majani, ila penzi lako gumu kung’oka
Huwaga nalia sana, nikik-mbuka tulipo toka
Ningepata mwandani, ila penzi lako linanyoosha
Usinifanyie mimi hivi, juwa vibaya
Nitoe kwa ubaya, my sweet, mapenzi ndo haya
Basi unisamehe, mwaya mama, mapenzi ndo haya

[Pre-Chorus]

Hata tusiwe wapenzi, mama juwa naumia
Umeondoa mchuma, mama ngazi naachia
Leo unaienjoy upendo, mi nachezewa hisia
Penzi langu, mama, natamani irudi zamani

[Chorus]

Ah baby, ayayaa
Oh baby, oh wo wo
Inanichoma, ayayaa
Nakosa amani, oh wo wo
Ah baby, ayayaa
Inaniuma, oh wo wo
Najioneaga tu mabala, ayayaa
Ah wo wo, oh mapenzi
Oh mapenzi
Oh baby
Oooh

Comments (0)

📌 By commenting, you agree to follow these rules. Let’s keep PearlTunes, Africa a safe and vibrant place for music lovers!

Jay Melody Songs

Show all →
Single
3:18
Single
3:27
Single
3:26
Single
3:24
Single
3:27
Single
3:20