Tujibambe Lyrics
Wakak waka (waka)
Tujibambe
Ongeza Tembo mi nshalewa
Shereheeeh
Mbogi mzima pia ishapewa
Jipongeze
Ebu jionyeshe Tu
Thank God for my life
Making memories with my crew
Lazima tujispoil savings zangu nitaspend
Na ka unanipenda Sana
Si basi you can send
Aaah
No trouble
Wacha zikam double
You only live once so
Stress weka kando
Twende
TuJibambe
Ongeza Tembo mi nshalewa
Shereheeeh
Mbogi mzima pia ishapewa
Ongeza Tembo mi nshalewa
Shereheeeh
Mbogi mzima pia ishapewa
Ulalala
Leo hakuna kulala
Ulalala
Party usiku na mchana
Ulalala
Salaton Wakawaka tupee Banger
Ulalala
We ongeza
Ongeza mkomboti
Kwa sherehe sikosi
Makelele Kwa ploti
Hapa Leo sitoki
Hapa ni party we ongeza Beer
Na utagongewa ukilewa uzime
TuJibambe
Ongeza Tembo mi nshalewa
Shereheeeh
Mbogi mzima pia ishapewa
Ongeza Tembo mi nshalewa
Shereheeeh
Mbogi mzima pia ishapewa
Song Tags
Comments (0)
📌 By commenting, you agree to follow these rules. Let’s keep PearlTunes, Africa a safe and vibrant place for music lovers!