Raha Lyrics
Yammi - Raha Lyrics
[Intro]
Aaaaaah aaaaaah aaaah aaaaah
[Verse 1]
Aki baby naona mi na wewe kama
Adamu na Hawa, ivi tuko sawa sawa
Utaniua, ntakwama, mi mwengine sina
Kwani unafanyaga vipi ivyo, mbona raha sana
[Pre-Chorus]
Oooh baby ongeza
Ongeza maujuzi
Nikupeleke kwa
Mkweo we wa wapi wewe?
Zanzibar au Tanga
Unanikolezaa baba kazi ipo
Mbona kazi wanayo
We ni fundi wewe ukinivunja utanjenga
[Chorus]
Yani naona raha
Naona raha, naona, naona raha
Naona raha, naona raha
Naona raha
Una nipenda mpaka naogopa
Naona raha, naona, naona raha
Naona raha, naona raha
Naona raha
Yani naona rahaa
[Verse 2]
Ogopa matapeli
Penzi letu tayari linahati miliki
Apa mwisho wa reli
Nimeshapatikana sitikisiki
Wanafki washa feri
Watarusha madongo, wala hayatufiki
Mi na we ndo movie
Waje watizame wawe mashabiki
Usije ponzwa na ujana
Babe bado mapema
Ng’ang’ana na mimi, darling
Na moyo umetulizana
We changu, chanda chema
Nyundo na msumali
[Pre-Chorus]
Oooh baby ongeza
Ongeza maujuzi
Nikupeleke kwa
Mkweo wе wa wapi wewe?
Zanzibar au Tanga
Unanikolezaa baba kazi ipo
Mbona kazi wanayo
Wе ni fundi wewe ukinivunja utanjenga
[Chorus]
Yani naona raha
Naona raha, naona, naona raha
Naona raha, naona raha
Naona raha
Una nipenda mpaka naogopa
Naona raha, naona, naona raha
Naona raha, naona raha
Naona raha
Yani naona rahaa
Comments (0)
📌 By commenting, you agree to follow these rules. Let’s keep PearlTunes, Africa a safe and vibrant place for music lovers!