[Verse 1: Jux]
Nyie, asiyefaa amefaa
Kweli, mtu sio mbwa
Asa hivi anang’aa kama chokaa
Nyie, Mungu anajua kuumba
Kama ulimuacha kisa amechakaa
Kwangu kaja, mbona ameng’ara?
Kama ulimuacha kisa amefubaa
Kwangu kaja, anang’arang’araa
[Chorus]
Sijui na-date na ex wa nani
Lakini nampenda
Sijui na-date na ex wa nani
Ila kwangu ndio my everything
Ooooh, my everything
Aaaah, my everything
Ooooh, my everything
Aaaah, my everything
[Verse 2 : D Voice]
Alitupa utumbo, wenzake
Tukaliaa ndizi, kasusa siye twala
Sina pupa, anavyonipa
Mi vinanikidhi, wala sina papala
Kwanza nampa pole aliyeachana naye
Mana nishaanza kufanana naye
Tena kokote mi natamba naye
Atandike jamvi chini akae
[Chorus : D Voice & Jux]
Sijui na-date na ex wa nani
Lakini nampenda
Sijui na-date na ex wa nani
Ila kwangu ndio my everything
Ooooh, my everything
Aaaah, my everything
Ooooh, my everything
Aaaah, my everything
[Bridge : D Voice]
Anaitwa Meneja Swagg Daddy Ray
Sikia kituu hikoo
[Verse 3 : D Voice]
Aya sasa Kulwa anatoka
Doto anaingia, mwenyewe kashoboka
Kaning’aninia
Kulwa anatoka
Doto anaingia, mwenyewe kashoboka
Kaning’aninia mama
Kaulamba huyo, kaulamba huyo
Kaulamba utamu wa Bakhresa
Kaulamba huyo, kaulamba huyo
Kaulamba utamu wa Bakhresa
Kaulamba huyo, kaulamba huyo
Kaulamba utamu wa Bakhresa
Kaulamba huyo, kaulamba huyo
Kaulamba utamu wa Bakhresa
[Verse 4: Jux]
Kanivuraga, kafanya nimepagawa
Nilivyoona bonge la chura nikachachawa
Oya chura (ananesa nesa)
Chura (anaruka ruka)
Chura (ananesa nesa)
Oya chura (anaruka ruka)
Oya huku na huku kwenye vibe
Wapi? (Huku)
Likipigwa hili goma tunaenda wapi?
Huku na huku kwenye vibe
Wapi? (Huku)
Likipigwa hili goma tunaenda wapi?
[Outro: D Voice]
Aya sasa tunaenda (huku)
Tunarudi (huku)
Tunaenda (huku)
Tunarudi (huku)