Vimba-Maua Sama
cover

Vimba

Maua Sama

0:00 0:00

Comments (0)

📌 By commenting, you agree to follow these rules. Let’s keep PearlTunes, Africa a safe and vibrant place for music lovers!

Nimeridhia Lyrics

[Verse]

Usiku hulali unaumia tena unawaza
Kukicha maswali na stress umejaza
Inaniumiza kukuona unaumia wewe Baba
Najua unanipenda
Ila unawaza labda nitakimbia
Kisa Mimi ni Star ndo unahofia labda nitakimbia

[Pre-Chorus]

Nimeridhika mimi (aaah aaah)
Na hali yako hiyo (aaah aaah)
Nataka uvimbe Baby (aaah aaah)
Mi ni wako pekee (aaah aaah)

[Chorus]

Vimba Vimba Vimba (Kama unanipenda)
Vimba Vimba Vimba (Amini Unapendwa)
Vimba Vimba Vimba (Watu waoneshe)
Vimba Vimba Vimba uuuuhhh

[Verse]

Tambua Kipaji kanipa Maulana Ni karama
Unaponyong'onyea unaniumiza sana ooh Bwana
Tena unatetemeka (Tetee)
Ukiniona unasita, Kijasho kinakutoka (mmmh)
Wanipa Raha, si masikhara, Dhahiri nasema
Twende kwa Baba Mzee Sama
Tumalize Biashara
Najua unanipenda
Ila unawaza labda nitakimbia
Kisa Mimi ni Star
Ndo unahofia labda nitakimbia (Yeeea yeiyaaeh)

[Pre-Chorus]

Nimeridhika mimi (aaah aaaah)
Na hali yako hiyo (aaah aaaah)
Nataka uvimbe Baby (aaah aaaah)
Mi ni wako pekee (aaah aaaah)

[Chorus]

Vimba Vimba Vimba (Kama unanipenda)
Vimba Vimba Vimba (Amini Unapendwa)
Vimba Vimba Vimba (Watu waoneshe)
Vimba Vimba Vimba